Yaad-e-Namaz Get the app

Mwanzo › Qur'ani › 113

Sura Falaq سُورَةُ الفَلَقِ

Sura ya 113 · aya 5 · ya Makka

Tap an ayah number to listen from there. Recitation streamed from Al Quran Cloud · Print / save as PDF

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

113:1
قُلْ أَعُوذُ بِرَبِّ ٱلْفَلَقِ ﴿1﴾

Sema: Najikinga kwa Mola Mlezi wa mapambazuko,

113:2
مِن شَرِّ مَا خَلَقَ ﴿2﴾

Na shari ya alivyo viumba,

113:3
وَمِن شَرِّ غَاسِقٍ إِذَا وَقَبَ ﴿3﴾

Na shari ya giza la usiku liingiapo,

113:4
وَمِن شَرِّ ٱلنَّفَّٰثَٰتِ فِى ٱلْعُقَدِ ﴿4﴾

Na shari ya wanao pulizia mafundoni,

113:5
وَمِن شَرِّ حَاسِدٍ إِذَا حَسَدَ ﴿5﴾

Na shari ya hasidi anapo husudu.

Tafsiri: Ali Muhsin Al-Barwani. Maandishi: Tanzil.net. tanzil.net

Lugha nyingine: English · اردو · Русский · Türkçe · Bahasa Indonesia · Bahasa Melayu · বাংলা · فارسی · हिन्दी · Français · Español · Deutsch · Português